2 Kings 2:9

9 aWalipokwisha kuvuka, Ilya akamwambia Al-Yasa, “Niambie, nikufanyie nini kabla sijaondolewa kutoka kwako?”

Al-Yasa akajibu, “Naomba nirithi sehemu maradufu ya roho yako.”

Copyright information for SwhKC